| Lyrics - Songtext | |
National Anthem Lyrics |
|
"Tanzania Native Anthem Text" Lyrics |
|
| Hinzugefügt von: Deathlord | |
| 1. Mungu ibariki Africa Wabariki Viongozi wake Hekima Umoja na Amani Hizi ni ngao zetu Afrika na watu wake. Chorus: Ibariki Afrika Ibariki Afrika Tubariki watoto wa Afrika. 2. Mungu ibariki Tanzania Dumisha uhuru na Umoja Wake kwa Waume na Watoto Mungu Ibariki Tanzania na watu wake. Chorus: Ibariki Tanzania Ibariki Tanzania Tubariki watoto wa Tanzania. Sent by Carlos AndrГ© Pereira da Silva Branco |
National Anthem Lyrics suchen |

